Mto Mogalakwena

Mto Magalakwena (au Motse) karibu na Marken, Limpopo.

Mto Mogalakwena ni mto wa jimbo la Limpopo, Afrika Kusini.

Ni tawimto la mto Limpopo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne